Al-shabab on work????:scared:
Al-shabab on work????:scared:
Al-shabab on work????:scared:
Ungetumia Kiswahili ingependeza!
i strongly condemn your view we tanzanian let us not depart from our nature.when your neighbour face a problem first you have to say sorry for him.in the bad situation like this is it you dream to take advantage for economic success? Ammazing!!were are we going wabongo?we will not take over economicaly in this manner.tuwaombee mungu waondokane na matatizo hayo jamaa bado tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao.confidence wajamaa wanayo fuatilia mashindano ya zain kwa wanachuo au wakute kwenye mashirika ya kimataifa wanajiamini kinyama.wakiamua kuwa wafanyabiashara wanakuwa wafanya biashara kweli kweli na wakiamua kuwa wakulima wanalima maekari ya kufa mtu na kwa kisasa zaidi.unaona wanavyoimezea mate ardhi yetu ambayo tumeicha na kujikusanya mjini huku tukilalamika hatuna ajira na mitaji? Kama sheria ya ardhi ilikuwa inawaruhusu kumiliki mashamba kwetu uone miaka mitano tuu njaa east afrika kwishneiwill be an advantage to our tourism sector in tz!
will be an advantage to our tourism sector in TZ!
To the tourists, East African countries are the same so do not wish your neighbour bad luck.
Poleni watu wa Mombasa. Hope the perpetrators are caught and face justice.
Kujifanya tuna ubinadamu saana na huruma ndicho kinachotufanya tuwe masini kila siku! Kenya wanatumia matatizo yetu kujinufaisha kiuchumi, na hawana concern yoyote juu yetu! Na rule ndio iko hivyo, makosa ya mwenzako ndio advantage yako wewe! Haya yanayotokea Kenya sio jambo la ghafla, ni matokeo yanayotokana na maamuzi ya wo wenyewe kenya!
wakishirikiana na boko haramAl-shabab on work????:scared:
Ungetumia Kiswahili ingependeza!
Mbona imekaa ki April mosi hv!
Mbona imekaa ki April mosi hv!