2.5 ACRES FOR SALE

mauajc

Member
Mar 14, 2017
57
24
2.2 Acres for sale at malimbika kigamboni. The plot is at a newly developed .its the 1 th plot from the road, the area water and electricity nearby. tsh. 80 million only.more info call 0675359343
 
Si ungeandika tuu kiswahili. Eti its the 1th plot from the road, the area water and electricity nearby..... Daaah!! Madalali wa kibongo bana.
 
Haaaa umenichekasha sana mkuu umechukia nini mkuu kingereza kibovu usijali ila sijajua umechukia nini mpaka kuandika yote nikingereza tu au Tangazo naomba kujua kama ulikua na shida na kiwanja ila kwabahati mbaya umeshindwa kuelewa nilicho kiandika swala la madalali sio hoja kuna madalali wanajua vizuri lugha naomba uwaombe msamaha ,Kwawote kiwanja kinauzwa kiko kigamboni kikubwa kwamatumizi ya biashara kuna umeme na maji wote karibu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom