1995 Augustino Lyatonga Mrema alikataa kujiunga na Chadema akidai ni kikundi cha Wafanyabiashara siyo Wanasiasa lakini Wengi hatukumuelewa!

1995 Augustino Lyatonga Mrema alikataa kujiunga na Chadema akidai ni kikundi cha Wafanyabiashara siyo Wanasiasa lakini Wengi hatukumuelewa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,521
Kauli za Yeriko na Mbowe zinathibitisha kauli iliyotolewa na Lyatonga kwamba Chadema ni Chama Cha wafanyabiashara na kwamba kilishindwa hata kutengeneza Katiba kikanunua ya Nccr mageuzi kutoka kwa Dr Amani

Nadhani sasa Mrema ameeleweka na wote ndio sababu WATOTO wa Bata wameenda kujihifadhi kwa Bilionea wa Bahari motors alhaj Hashim Rungwe wa Ujiji Kigoma

Nani alimpiga marisasi Tundu Lisu?

Mlale unono 😄
 
Mbowe anasababisha wachaga tusiaminike
Wewe unamshangaa mbowe kuwa snich hiyo familia imeishi kwa usnich tangu enzi ya baba yao aliemsinich mangi Tomas mariale kwa Nyerere mpaka mangi tomasi akahama nchi na kwenda kuishi uamishoni uingereza mpaka alipokuja kurudi miaka ya tisini tunda sawa na mti
 
Kumbe ni issue ya kizazi na kizazi
 
Lyatonga Mrema kwani alikuwa mpinzani huyo? Huyo alikuwa waleee!! Na hakuwa na malengo ya kuchukuq Dora. Ndio yale ya pandikiza huyu hapa, yule kule ili wakuru wajue tuna Domo karasia wasitunyime mapene!!
 
Back
Top Bottom