1992 Suzuki Escudo for sale Tsh 9m Dodoma

1992 Suzuki Escudo for sale Tsh 9m Dodoma

gwami g

Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
19
Reaction score
1
Contact : 0714 664361
 
Attachments

  • 1410945900154.jpg
    1410945900154.jpg
    40.5 KB · Views: 437
Contact : 0714 664361

Mkuu gwami g, inakuwaje unatangaza biashara ambayo umeificha uvunguni, mbona picha umezificha hivyo, hayo maeneo usiyotaka yaonekane yana shida gani, onyesha kitu full ututamanishe siye watu wa milimani.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha achen majungu nyie,we kma gar umependa unanichek thn utaona mapicha yote Kila pande uwez usiwa mbuz kweny gunia bana
 
-2014-1992=22yrs
-manual
-suzuki spare zake
-namba AAA
KAJIPANGE UJE TENA
lete milioni 5 nikupe kama hiyohiyo
 
Kaka hata namba kaficha. Labda wale watani zangu kutoka moshi wana mzuka na hizo gari.

bwashe hiyo gari ngumu kama mwamba!...ukiona gari anaipenda mchaga ujue hiyo ni gari ya maana, hauoni hata waalimu wastaafu wanaipenda ni kwa sababu haisababishi ugonjwa wa moyo! mkuu gwami g (pale mikumi ni guest yako?), nakupigia debe MANI au Zanzibar Spices (huyu ndugu wangu wa damu kabisa sema ana majungu tu..lol) wachukue gari hii, utanitoa hata ya "vocha" mkuu wangu!
 
Wachaga hawataki kwenda dukani kila mara eti.
 
Last edited by a moderator:
JF kuna mambo sana sasa huyu jamaa wa kibosho ametuletea biashara au jokes?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom