18-30years girlfriend

Kweli miaka 25 bado tu unatafuta wadada mitandaoni?!!!

Mimi nilivyokuwa na huo umri nilikuwa nalazimika kuzima simu ili niepuke usumbufu wa kutafutwa na mabinti. Wewe mwenzangu upo wapi?

Mademu ni pesa tu, itafute kwanza once ukiipata utawachoka wewe.
 
sura yako imekaa kigumu mambo ya kuitwa beibiiiii utayaweza kweli jombaaa?

Nieleweke vizuri external relationship namaanisha hatufiki kuitana 'beibiii' hii inaishia nje kushikana coz I've my internal girlfriend who cares of my heart ndio maana nikasema CHATTING FRND. Okay?
 
Unajua kizungu nacho ni kigumu mno bana tena kama kichwa hakina lager ndo hata kusoma ni shida
kumbe external relationship ndo wa kuchat afu internal wa kugegeda
poa nimekupata...
 
ina maana mtaani kwenu hakuna wasichana hadi jf?? hao hao wa mtaani wapo jf...acha uoga simamisha mmoja muombe urafiki
 
Thanx BIG kwa ushauri nitazingatia. Let me try.
 
mashkolo mageni........neva sii since born
 
Nieleweke vizuri external relationship namaanisha hatufiki kuitana 'beibiii' hii inaishia nje kushikana coz I've my internal girlfriend who cares of my heart ndio maana nikasema CHATTING FRND. Okay?

hee makubwa kwahiyo ulienae hakutoshi kushikana nae wataka mwingine mmh labda sijaelewa huyo mchumbako ana kazi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…