Acha Uzushi wewe, usidanganye watu soma kuanzia 1Kor 15:12-28 uelewe nini mtume paulo alikuwa anasema. Ukitumiwa na shetani utaaminisha watu kwenye hako kamstari na tafsiri yako ovu kuupinga ufufu wa Kristo Yesu. Yesu alifufuka na mitume wake walimuona Galilaya kama alivyokuwa amewaambia. Tomaso alimgusa mwili walke hata makovu ya mikuki waliyomchoma. MPOKEE YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO UACHANA NA HUU UZUSHU WA KISHETANI UNAOTAKA KUWAPANDIKIZA WATU. YESU KRISTO NI MWANA WA MUNGU, NI MUNGU WALA SIO MTUME. KAMA UNA MTUME AITWAYE YESU BASI SIE HUYO YESU KRISTO WA NAZARETH AMBAYE JINA LINGINE MUNGU BABA YAKE ALIMUITA EMANUEL YAANI MUNGU PAMOJA NASI. NA MUNGU TUNAYEMUONGELEA HAPA JINA LAKE NI JEHOVA. JEHOVA PEKEE YAKE NDIO MUNGU MWENYE MWANAE, WENGINE WOTE; DAGONI, ALLAH, N.K HAWANA MUNGU NA WALA HAWANA UHUSIANO NA YESU. BWANA YESU ASIFIWE, SEMA AMEN.Nani aliyekwambia yesu kafa na kafufuliwa? Mbona Biblia inakanusha wazi kabisa?? Soma
1 Corinthians 15:15;
Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
1 Kor 15:12 ukisoma kuanzia hapo ndipo utaelewa vzr huo mstari wa 15Nani aliyekwambia yesu kafa na kafufuliwa? Mbona Biblia inakanusha wazi kabisa?? Soma
1 Corinthians 15:15;
Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
Unaamini Uzushi tu. Hata Biblia inakuambia.Ndugu unajua maana ya biblia ? Hoja ingepaswa kuwa maandishi yanayosema Kristo hakusulubiwa yaginduliwa. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi ambapo namna gani vilipatikana imeelezwa. Tukumbuke pia hata biblia yenyewe inaeleza kuwa tangu awali kuna uzushi kuwa Kristu hakufufuka.
Fala sana wewe jini.sasa endelea kusoma hadi mwisho sio unaquote mstar.Nani aliyekwambia yesu kafa na kafufuliwa? Mbona Biblia inakanusha wazi kabisa?? Soma
1 Corinthians 15:15;
Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
Tunashukuru kwa elimu hiyo lakini hao wote hawakuandika Biblia. Shida ni kwamba munachanganya kati ya Bible na Manuscripts. Hao wameandika Manuscripts. Bible ni compilations wa baadhi wa hizo Manuscripts. Bible imekuwa composed zaidi ya 400 years after Jesus disappearence. Aliye Compile Bible ni watu wa kawaida tu na hawana utukufu wa aina yoyote.View attachment 441502sio mnaongea tuu nyie wapenda majini.
ukiangalia hapa unajua kuwa luka alikuwa daktar.mathew alikuwa yule mtoza kodi aliyekuwa mtume wa yesu baadae,mark alikuwa pia mfuasi wa petro(ina maana aliishi miaka ileile ya Mwokozi Yesu)na pia Yohana alikuwa mfuasi mdogo wa kipindi cha yesu
Unaona umeleta boonge la solid evidence?! rudi darasani kajifunze, huwez kuelimika kupitia google, google ni sawa na maktaba na kama elimu ingekuwa inapatkana maktaba kusingekua na haja ya kujenga vyuo na kuajiri walimu! na nikukumbushe tu kuwa google inaendana sanjari na mabadliko ya technolojia, so kama bible imeweza kuchakachuliwa faham kuwa hata google imekua feeded na na hicho kilchochakachuliwa katika bibliaView attachment 441502sio mnaongea tuu nyie wapenda majini.
ukiangalia hapa unajua kuwa luka alikuwa daktar.mathew alikuwa yule mtoza kodi aliyekuwa mtume wa yesu baadae,mark alikuwa pia mfuasi wa petro(ina maana aliishi miaka ileile ya Mwokozi Yesu)na pia Yohana alikuwa mfuasi mdogo wa kipindi cha yesu
Kaka, hatuisakami Biblia. Na wala Biblia kuprintiwa vitabu vingi kuliko vyote duniani haimaanishi kuwa haina kasoro.Hapo ndio huwa nafurahia uwepo wa biblia kuwa ni pekee kitabu kinachosakamwa duniani kote na wanaokitafuta kufutwa hawajawahi kufanikiwa badala yake ndio pekee kitabu kilichochapishwa nakala nyingi duniani na kutafsiriwa kwa lugha nyingi kuzidi vitabu vyote vilivyopata kuandikwa na hata vile vilivyosingiziwa kuwa eti vitabu vitakatifu. Mapinga kristo yako kazini lakini niwahakikishie, mwishowe kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri ya kuwa Yesu kristo ni Bwana na mwokozi wa ulimwengu wote, hakuna jina jingine walilopewa wanadamu ambalo kwa hilo wataokolewa bali ni YESU tu. Bwana Yestu kristo wa Nazareti Asifiwe.
Asante ndugu yangu.Uturuki mwanzoni ilikuwani nchi ya Wakristo na Wakristo wa wakati wa Paul walitokea huko Antokia na ndio hao hao waturuki waliitwa Wagalatia jina lao la Zamani
Unaamini Uzushi tu. Hata Biblia inakuambia.
1 Corinthians 15:14-19
14 tena kama Kristo hakufufuka, basi, kuhubiri kwetu ni bure na imani yenu ni bure.
15 Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
16 Maana kama wafu hawafufuliwi, Kristo naye hakufufuka.
17 Na kama Kristo hakufufuka, imani yenu ni bure; mngalimo katika dhambi zenu.
18 Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.
19 Kama katika maisha haya tu tumemtumaini Kristo, sisi tu maskini kuliko watu wote.
Tafakari na utafute ukweli wa Imani yako.
Wewe usituletee uongo wako hapa. Tupe ushahidi wa kuwa Yesu amesema YEYE MUNGU. Tupatie ushahidi wa maneno yako unayozungumza. Usizungumze kama upo kanisani unahubiria vipofu na viziwi. Tupe ushahidi wa kila neno usemalo. Mimi nakupatia ushahidi wa kila nisemalo ndani ya Biblia yako. Nyinyi ndio wenye kudanganya waumini wenu kanisani. Munawapotosha na ukweli. Adhabu yenu kwa Mungu ni kali sana. Munamzushia Yesu kusulubiwa, Kufa na Kufufuka pasipo na ushahidi wowote. Unamzushia Yesu Mungu wakati hakuna hata sehemu moja kwenye Biblia Yesu amesema MIMI MUNGU au NIABUDUNI?? Musicheze na dini kwani hatma yake ni mbaya mno.Acha Uzushi wewe, usidanganye watu soma kuanzia 1Kor 15:12-28 uelewe nini mtume paulo alikuwa anasema. Ukitumiwa na shetani utaaminisha watu kwenye hako kamstari na tafsiri yako ovu kuupinga ufufu wa Kristo Yesu. Yesu alifufuka na mitume wake walimuona Galilaya kama alivyokuwa amewaambia. Tomaso alimgusa mwili walke hata makovu ya mikuki waliyomchoma. MPOKEE YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO UACHANA NA HUU UZUSHU WA KISHETANI UNAOTAKA KUWAPANDIKIZA WATU. YESU KRISTO NI MWANA WA MUNGU, NI MUNGU WALA SIO MTUME. KAMA UNA MTUME AITWAYE YESU BASI SIE HUYO YESU KRISTO WA NAZARETH AMBAYE JINA LINGINE MUNGU BABA YAKE ALIMUITA EMANUEL YAANI MUNGU PAMOJA NASI. NA MUNGU TUNAYEMUONGELEA HAPA JINA LAKE NI JEHOVA. JEHOVA PEKEE YAKE NDIO MUNGU MWENYE MWANAE, WENGINE WOTE; DAGONI, ALLAH, N.K HAWANA MUNGU NA WALA HAWANA UHUSIANO NA YESU. BWANA YESU ASIFIWE, SEMA AMEN.
Quran ni ile ile tokea wakati wa Mtume Muhammed(Rehma na Amani zimfikie) hadi hivi leo. Neno kwa neno. Kitabu ni hicho hicho kimoja. Sikiliza hiyo link ya BBC
Maneno ya Mungu hayabadiliki. Lazima mutafakari na muulize maswali wahubiri wenu.
Mungai!!!???Yesu hakuteswa, alioa na kuzaa, mke wake alifahamika kama Maria Magdalena, hakuwahi kusema popote kuwa ni Mwana wa Mungu, alikuwa mweusi tii...
..kama ambavyo Mungai(r.I.p) alitaka kuifanya elimu ndivyo walivyogeuza na kupindisha biblia ila wenye kufuatilia tunazo biblia orijino, zenye injili ya Maria Magdalena, injili ya Yuda Eskalioti(yule waliyetudanganya kuwa alimuuza Yesu kwa euro sijui vipande vya mini)
Hapo ndipo munapochanganywa na hao walicompile hiyo Biblia. Wamebadilisha maana na kuongeza maneno yao kuwachanganya.1 Kor 15:12 ukisoma kuanzia hapo ndipo utaelewa vzr huo mstari wa 15
Inazungumzia Ufufuo na kiyama ya wafu, wabishi hawakuanza leo hata wakati huo walikuwepo na hapo Paulo anawafundisha....
Ukisema hakuna kiyama ya wafu basi kristo hakufufuka na kama Kristo hakufufuka basi kuhubiri kwetu ni bure na hakuna maana na itakua bado mngalimo na dhambi zenu....
Mstari wa 20 ....Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu limbuko lao waliolala.
Hapo ndipo munapochanganywa na hao walicompile hiyo Biblia. Wamebadilisha maana na kuongeza maneno yao kuwachanganya.
Kama Biblia imeshakuambia kuwa Yesu hajasulubiwa na ameenda kwa Mungu kwa hiyo huyo Yesu amekufaje hata afufuke??
Jambo la pili kutokana na mafundisho ya Wayahudi kusulubiwa ni Kulaaniwa, je kama kasulubiwa kama unavyoamini basi inamaanisha Yesu kalaaniwa?? Mbona munajichanganya bila kujielewa.
Deuteronomy 21:22-23
22 Akiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti;
23 mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi wako.
Kweli munaaminishwa Mungu atamlaani Mjumbe wake? Na atamwacha Mjumbe wake aliyemtuma adhalilike?? Muna underestimate uwezo wa Mungu???
EVIDENCE IN THE BIBLE THAT GOD HEARD JESUS’ PRAYER TO BE SAVED FROM THE CROSS:1 Kor 15:12 ukisoma kuanzia hapo ndipo utaelewa vzr huo mstari wa 15
Inazungumzia Ufufuo na kiyama ya wafu, wabishi hawakuanza leo hata wakati huo walikuwepo na hapo Paulo anawafundisha....
Ukisema hakuna kiyama ya wafu basi kristo hakufufuka na kama Kristo hakufufuka basi kuhubiri kwetu ni bure na hakuna maana na itakua bado mngalimo na dhambi zenu....
Mstari wa 20 ....Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu limbuko lao waliolala.
Sasa tutaichambua Biblia ili upate kuelewa zaidi kuwa hizo fikra umepandikizwa sio za kweli. Lakini try to think outside the box in order to understand."Wayahudi kusulubiwa ni kulaaniwa" kifo cha aibu, lakini kwa ajili ya nani na nini?kweli kabisa wala huja potosha. Sasa jiulize kwa nini Wayahudi hao hao waseme damu ya aliye laaniwa iwe juu yao na watoto (vizazi) wao(vyao.).
Damu ya Mungu aliye uvaa uwanadamu, isiyo na hatia wala dhambi iwe juu ya uzao wa Israel!!!. Ni muhimu ukajua Yakobo alipataje jina la Israel.
Yakobo alimshinda Mungu lakini akavunjwa nyonga na Mungu, akaomba baraka kwa Mungu akaitwa Israel na baraka juu yake..
Kizazi chake kina msulubisha Yesu kina sema damu yake na iwe juu yetu na vizazi vyetu, Yesu anafufuka siku ya tatu. Ndugu mambo/matendo ya Mungu ni makuu sana na haya chunguzi kwa akili hizi za kawaida za mwanadamu. Muombe Mungu akujaze Roho Mtakatifu ndipo uiendee hii Biblia kuisoma. Vinginevyo mtaishia kusema Mungu wa upendeleo wa Taifa moja. Utaratibu uko ama uwe taifa la Mungu au uchague kuwa wa shetani
Na washawasha!
Hakuna Quran ya kiswahili, wala ya kizungu, wala ya lugha yoyote ile. Bali kuna tafsiri ya Quran katika hizo lugha. Quran ni kwa kiarabu tu. Husomwa kiarabu, huandikwa kiarabu. Muislamu yoyote yule anawajibika ajue kusoma kiarabu. Ndio maana waislamu tunajua tunachokiamini ni sahihi kwa kuwa ni wajibu kusoma Quran kila siku na hakuna contradiction yoyote ndani Quran tukufu. Na mitume yote imetajwa pamoja na Yesu. Amezungumziwa vya kutosha. Na tunamuamini Yesu kushinda nyinyi wakristo. Tafuta ukweli ndani ya Quran upate kujua. Mbona sisi tunasoma Biblia ili kuelewa kilichoandikwa? Nanyi musome Quran muelewe nini kilichiandikwa.Kuna wakati tuliambiwa lugha yake ni kiarabu tu, sasa hata za kiswahili ziko.
Na washawasha!
Sasa tutaichambua Biblia ili upate kuelewa zaidi kuwa hizo fikra umepandikizwa sio za kweli. Lakini try to think outside the box in order to understand.
Before the arrival of Jesus and in the Old Testament of the Bible, GOD has always forgiven sins even without any blood sacrifice for anyone who sincerely repented and turned away from their sins. If Jesus died, then he died in vain. There really was no need for Jesus to die for the sins of mankind when GOD has always forgiven sins through sincere repentance, and He continues to do so till this day because His Mercy and Nature to forgive doesn’t change. There’s enough evidence in both the Old Testment and New Testment of Bible that repentance of sins is required upon everyone in order to be forgiven. Even if a Christian believes that Jesus died for their sins, they still have to repent for their new sins, right? Yes…so this means that Jesus’ alleged crucifixion wasn’t a full sacrifice, so again he died in vain!
HERE’S A CLEVER CONTRADICTION REGARDING THE RESURRECTION:
“And when Jesus had cried with a loud voice, he said, Father, into thy hands I commend my spirit: and having said this, he gave up the ghost.” [Luke 23:46]
According to above verse Jesus gave up the spirit to God. If Jesus is part of the Trinity of God, the son, and the Holy Ghost, then why is it that he had to give up his spirit to God which is in Heaven if he is the same person? Did he borrow the spirit while God was spiritless in Heaven?
“Jesus saith unto her, Touch me not: for I am not yet ascended to my Father: but go to my brethren, and say unto them, I ascend unto my Father, and your Father, and to my God, and your God.” [[HASHTAG]#John[/HASHTAG] 20:17]
This is said to have occured only after the resurrection, but it is apparent that according to this verse Jesus had not yet ascended, contradicting the verse of Luke 23:43 when Jesus said to the theif on the cross; “TODAY YOU WILL BE WITH ME IN PARADISE“.
So where was Jesus between the time he gave up his spirit to God and the time he returned back to earth if he never ascended in the first place? Isn’t this a clear contradiction and something to ponder over? This suggests that Jesus never died. And it is also clear in this text that Jeus has a God so he himself cannot be God!
SO WAS IT JESUS, JUDAS, OR SIMON ON THE CROSS?
“And he (Jesus) answered and said, He that dippeth his hand with me in the dish, the same shall betray me. The Son of man goeth as it is written of him: but woe unto that man by whom the Son of man is betrayed! IT HAD BEEN GOOD FOR THAT MAN IF HE HAD NOT BEEN BORN. Then Judas, which betrayed him, answered and said, Master, is it I? He (Jesus) said unto him, Thou hast said.” [Matthew 26:23-25]
“And as they came out, they found a man of Cyrene, Simon by name: him they compelled to bear his (Jesus’) cross.” [Matthew 27:32]
So it’s very possible that it was Judas that was punished for his betrayal and also possible that either Judas or Simon was crucified instead. In fact the Ethiopian Bible says that Judas portrayed Jesus and not betrayed him so when it all makes sense when Jesus said, “Greater love hath no man than this, that a man lay down his life for his friends.” [John 15:13].
Although the Qur’an doesn’t specifically identify the other man that was crucified in Jesus’ place, there’s strong evidence in The Gospel of Barnabas, The Apocolypse of Peter, and the Ethiopian Bible that Judas was the one crucified. According to Islam, all of Jesus’ desciples were pure, so I guess that other man will remain mysterious!
In the Gospel of Barnabas, Jesus is described as a prophet and not the son of God, while Paul is called “the deceived”. Furthermore, the Gospel of Barnabas states that Jesus escaped crucifixion by being raised alive to heaven; while Judas Iscariot the traitor was crucified in his place. These beliefs; in particular that Jesus is a prophet of God and raised alive without being crucified; conform with Islamic beliefs.
WE BEAR OUR OWN SINS:
“No one can redeem the life of another or give to God a ransom for them—the ransom for a life is costly, no payment is ever enough.” [Psalm 49:7-8]
“No soul can carry the sins of another soul. If a soul that is full with sins implores another to bear part of its load, no other soul can carry any part of it, even if they were related. The only people to heed your warnings are those who fear their Lord, even when alone in their privacy, and observe the Contact Prayers. Whoever purifies his soul, does so for his own good. To Allah is the final destiny.” [Qur’an 35:18]
“The fathers shall not be put to death for the children, neither shall the children be put to death for the fathers: every man shall be put to death for his own sin.” [Deuteronomy 24:16]
In ALL Scriptures its clearly mentioned that everyone carries his/her own Sins and no one can carry that budden for another. So again Jesus crucified for your sins is a fabrication.