Jamani, mnasumbuka nini na huyu mtu? Mbona hiyo roho inayomtawala iko wazi hapa??? Amefunikwa na ukengeufu na upotofu kiasi kuwa hana mwanga wowote wa kulielewa Andiko lililo wazi kiasi hicho....hiyo roho ovu inadhihirika hapo kwa uwazi kabisa.Kwanini uamini Yesu amesulubiwa wakati Biblia inakuambia kuwa hakusulubiwa??
Ushahidi:
Wagalatia 3
1 Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa?
2 Nataka kujifunza neno hili moja kwenu. Je! Mlipokea Roho kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na imani?
3 Je! Mmekuwa wajinga namna hii? Baada ya kuanza katika Roho, mnataka kukamilishwa sasa katika mwili?
Hiyo hapo! nia ovu, roho ya kuasi, giza kamili....ile roho inayomfanya huyu aruke mistari yote kabla ya huo wa 15 na inamlazimisha asitilie maanani mistari inayoufuata huo, roho ile inayomzuia asione mantiki iliyo wazi kiasi hicho.... huyo hapo uchi kabisa! Mwenye kubeba hila kiasi hiki, aliyedhamiria kupotosha kwa namna zote, aaminike kwa lipi baada ya rangi zake halisi kudhihirika?! Kazi za roho ya kuasi hizo hapo..Nani aliyekwambia yesu kafa na kafufuliwa? Mbona Biblia inakanusha wazi kabisa?? Soma
1 Corinthians 15:15;
Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
teh teh teh.....Anaogopa KUSILIMU
Ili tuweze kuwa on the same page. Toa reference ya ibara hizo ndani ya hiyo Bible.Angalia kwenye posts zangu humu maswali na wala si swali yako na uyajibu.
Swali la nyongeza hii biblia original ina liongelea je suala la kuabudu sanamu? Vipi nyoka wa shaba kapewa nafasi kwenye original bible?
Na washawasha
Ungekuwa unajua Chimbuko la dini yako basi hayo maswali usingeuliza. Now lets go back to the very beginning of your Faith. There was no religion called 'Christianity' at the time of Jesus. That means Jesus didn't bring a religion called 'Christianity', thats why there is no place in either Old Tastement or New Tastement quoted that Moses or Jesus brought Christianity as your religion. In Jesus time, There were only followers of Jesus but not Christianity. These followers of Jesus kept Manuscripts of Jesus teachings God's Words. They are called Manuscripts of INJIL and not BIBLE. Many years After Jesus death some unknown people collected these Manuscripts of INJIL and TORAH(the book of Moses of which already existed along with book of DAVID) collected them together and Made BIBLE and formed CHRISTIANITY as a religion. That is CHRISTIANITY religion is not made by Jesus nor Jesus is aware of its existence. These unknown people couldnot have twisted the books which were already existed before Jesus, that is TORAH & ZABUR because they were well known to Public. However INJIL was not published as a book at that time because Manuscripts were dispersed in different places and some even lost. These unknown people twisted the true words of Jesus and hide the truth from it because they wanted to control people the way they want.Kuna mahali Mkristo yeyote alikuambia ana mashaka na ukweli wa anacho kiamini ili wewe upate sababu ya kuvalentia kumsaidia kujua huo ukweli? Kwa nini usihubiri kweli ya unacho kiamini wewe ili watu waione hiyo kweli na waifuate? Nini kina kufanya uhangaikie kweli ya imani ya Wakristo? Je wa weza kututajia jina hata moja la dhehebu la Kikristo linalo fuata hiyo itawayo original bible maana tangu waturuki waigundue ni muda sasa?
Au kuna historia ina onesha kuwa kuna dhehebu la kikristo lililowahi kuitumia hiyo original bible. Maana kama ilikuwapo basi kuna waliyo iandika na kuitumia kama kitabu chao. Sasa kwa huko kujitolea kwako tusaidie kuwa fahamu walio wahi kuitumia hiyo original bible, maana huwezi kuichakachua yenyewe na wale walio wahi kuitumia, karibu tafadhali.
Na washawasha!
ROHO MTAKATIFU haja jina? Au jina lake ni ROHO MTAKATIFU? Alishawahi kuonekana kwa watu kimaumbile? Nipe reference from the Bible. Interesting!Nimeshakuambia kuna YESU KRISTO na ROHO MTAKATIFU.....ROHO MTAKATIFU alishuka siku ya Pentekoste YESU alipo paa kwenda Mbinguni
Sasa kama unakubali Deutetonomy 24:16 ambayo Mungu anakwambia wazi kuwa kila mmoja anabeba dhambie zake yeye mwenyewe vipi tena kwenye New Tastement uambiwe kuwa Yesu amekuwa sacrificed kwa Dhambi zenu??? Huoni kuna contradiction kubwa hapo?? Kauli Mbili ndani ya Bible moja.Nimekimbiaje wewe....ntakanaje mistari ya biblia akati ndo kitabu changu....
Amtabirie nani? Andika full statement ueleweke unachokisema.haiwezekani yesu amtabirie mud
Sio kila swali unitupie. Mimi nataka uelimike na ufahamu kuwa nipo hapa kukufungua macho. Kama hujui kwanini Yesu atakuja siku ya mwisho niambie ili nikueleze. Usione aibu na wala dont feel defeated to accept the truth.Kama kweli unasoma biblia jibu utakua nalo la kuhusu kwanini YESU anakuja siku ya mwisho.........
kwani mkuu unapanikia nini hadi ulete madharau?,kwa hiyo mtume wenu ndiye "ROHO" wa kweli....???? ROHO wa kweli anaombewa rehema na amani????? wakati ROHO wa kweli yeye ndiye atiaye uzima inakuwaje tena naye anaombewa kurehemiwa na kupewa amani????? Hebu nenda Matendo ya Mitume sura ya 2 usome iwapo huyo aliyeshuka siku ile kama ni mtume wenu au ni ROHO MTAKATIFU (ahadi ile aliyoahidi Yesu Kristo kuwa atakuja msaidizi) sawasawa na nabii Yoeli alivyotabiri katika kitabu cha YOELI (2:28-30),
TENA nabii ISAYA alitabiri habari ya YESU na kuzaliwa kwake na mateso yake (Isaya 7:11-14, 9:6-7, 53:1-11)
TENA nabii Ezekieli alitabiri kwa habari ya ROHO Mtakatifu kama maji mengi yanayoponya magonjwa ya kila aina.
TENA ROHO WA AHADI aliyetabiriwa na YESU KRISTO kuwa sisi tumwaminio tutampokea ametajwa kama MAJI YA UZIMA (Je mtume wako anaingia hapa??) mtume wako alikufa na akafa kweli kweli ati na kwa sasa anamsubiri Yesu Kristo atakapowafufua wote waliokufa apate hukumu sawasawa na matendo yake lakini YESU alifufuka na akaleta ROHO wa uzima ili watakaomwamini hata wakifa wawe na uzima wa milele ndani yao.
Je, kitabu chako hakisemi kuwa; "kiama ya wafu haiji asipokuja huyo YESU???"
ROHO GANI ANA MIFUPA, ANAFUGA MAJINI, ANAOA WATOTO WADOGO, ANAOA MANY MANY WIVES WITH MASURIA PEMBENI, ANAFUNDISHA SIHILI NA FALAKI???? huyo ni roho mtaka vitu siyo mtakatifu.
Give a reference in your Bible Jesus Saying that he is GOD or Saying WORSHIP me. If you give me single verse quoted Jesus saying that then i will be convert to Christianity today.CHRIST IS LORD!!!! EVERY KNEE SHALL BOW AND EVERY TONGUE SHALL CONFESS!!
Ni kweli Yesu alikuja kuwaokoa wana wa Israel. Sio watu wengine zaidi yao.Unajua bible unasoma kama hadithi, roho mtakatifu anakiwa akuongeze ukisoma neno la mungu.Yesu alikuja kutuokoa kwa kupitia yeye,kabla ya hapo walikuwa wanatoa sadaka ya kuteketeza ili wasamehewe dhambi.Sio kwamba ukiwa na jina la Patrick au joyce ndo uone ufalme wa mbingu ila ukimfuata na kwa kukabidhi maisha yako kwa mungu.Ila ukifanya dhambi hukumu itakuwa juu yako.
Ni kweli hizo sifa za Mungu, na anafanya atakacho lakini hamuadhibu Mjumbe wake bali anampatia Mitihani. Tofautisha baina ya Mitihani na Adhabu. Mitihani ni changamoto katika Mjumbe wake kufikia malengo aliyoagizwa. Kwa mujibu wako Yesu ameadhibishwa tena na maadui zake na amedhalilishwa. Hakuna Mjumbe yeyote wa Mungu aliyewahi kufanyiwa hivi kwenye histori ya Ulimwengu. Nimekutumia veses nyingi za kuonyesha Yesu alivyokuwa akimuomba Mungu amuokoe na Mateso hayo. Na nimekutumia veses nyingi zisemazo kuwa Maombi ya Yesu hayana hukubaliwa na Mungu. Iweje tena Mungu amwache Yesu adhalilike . Hili ni jambo haliwezekani.Baada ya kukubaliana kuwa Zab 91 sio specific kwa Yesu sasa njibu swali lako.
God is Omnpotent, omnscient and omnpresent. You do agree right! He has his purpose and his way of doing things right!
Therefore he is able to choose suffering, death or any kind of methods to accomplish his purpose.
Alifanya ivo kwa mja wake Ayubu. Ayubu 2:8-9 [8]Naye akashika kigae cha kujikunia; akaketi majivuni.
[9]Ndipo mkewe akamwambia, Je! Wewe hata sasa washikamana na utimilifu wako? Umkufuru Mungu, ukafe.
alifanya ivo kwa mja wake Yusufu kwa kufungwa gerezani Mwanzo 39:20
[20]Bwana wake akamtwaa Yusufu, akamtia gerezani, mahali walipofungwa wafungwa wa mfalme, naye akawamo humo gerezani.
Alifanya ivo kwa waja wake Israel.
Kutoka 1:11
[11]Basi wakaweka wasimamizi juu yao wawatese kwa mizigo yao. Nao wakamjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.
Na akafanya ivo kwa Yesu.
Shida ni nini kama Mungu mwenyew ameamua? Unataka kumshinikiza afanye kama utakavyo?
Deuteronomy 24:
16. "Parents are not not to be put to death for crimes committed by their children, and children are not to be put to death for crimes committed by their parents; people are to be put to death for crimes they themselves have committed.
Hapa ndipo kunako udhibitisha Uungu wa Bwana Yesu. Kuwa Mungu akiwa kauvaa uwanadamu alisulubiwa akafa akazikwa na kufufuka ili kuichukua dhambi ya ulimwengu wote.
Haya maneno katika hii nukuu ya Biblia ni ya kweli tupu kuwa hamna mwanadamu anayeweza kufanya hayo ila Mungu Mwana ambaye ndiye Bwana Yesu. Na masharti ya kupata msamaha wa dhambi ambayo Yesu kaichukua kwa niaba yetu ndio haya.
Utubu dhambi zako na kuziacha halafu umpokee kwa kubatizwa kwa maji na kwa roho, hivyo tu basi.
Lakini kwa vile neema ya hekima ya hili neno wamenyimwa wazee na kupewa watoto ndio hivyo watu wanaendelea kuifanya mioyo yao migumu na kujitoa ufahamu.
Na washawasha!
Wenzenu waislamu wanaelewa wanachokisoma. Sisi sio wenzenu. Sisi tuna amrishwa kusoma na kuielewa dini yetu. Sio tu kufata kichwa kichwa.Biblia inajadiliwa sana maana lugha inaeleweka...ingeandikwaga kiibrania tu watu wakariri bila kuelewa kama hawa wenzetu.