wadau wa 3D animation( kwa kutumia blender) na graphics kwa ujumla ningependa kushirikiana na aliye tayari kutengeneza short film animation kwa kushaire ideas,lengo ni kujifunza zaidi ,kwa yeyote mwenye nia naomba tuwasiliane.mimi natumia 3D Blender zaidi..na pia adobe illustrator,photoshop,flash na after effect.