SafetyVigilance
Member
- May 16, 2024
- 47
- 283
Technology imeendelea mkuu. Unaweza check for plagiarism. Pia nimerely zaidi kwenye ushauri rather than kutaja routes.Hiyo bus ilikuwa inatoka wapi na inaenda wapi?
Mbona Kama story za kupaste hizi kutoka Facebook
The B-129 road leads west to Manyoni, followed by the B-141 road north to Singida.Hiyo bus ilikuwa inatoka wapi na inaenda wapi?
Mbona Kama story za kupaste hizi kutoka Facebook
Safety should never take a back seat to speed mkuuHizo speed waliziweka wakijua zinatakiwa zitumike ni mbala kwenda beyond speed limit iliyoko kwenye gari
Bado barabaran kuna tochi, latra na VTS zao na vibao vya speed 15, 30, 50 na 80. Kuna matuta na zebra, technically huyu dereva hajazingatia kwa sehemu hivyo nimekutajia. Bado mwendokasi haukubaliki. Bye.Hizo speed waliziweka wakijua zinatakiwa zitumike ni mbala kwenda beyond speed limit iliyoko kwenye gari
Hajataja ni nchi gani, kuna wengine mwendo huo kwao ni sawaBado barabaran kuna tochi, latra na VTS zao na vibao vya speed 15, 30, 50 na 80. Kuna matuta na zebra, technically huyu dereva hajazingatia kwa sehemu hivyo nimekutajia. Bado mwendokasi haukubaliki. Bye.
Well saidBado barabaran kuna tochi, latra na VTS zao na vibao vya speed 15, 30, 50 na 80. Kuna matuta na zebra, technically huyu dereva hajazingatia kwa sehemu hivyo nimekutajia. Bado mwendokasi haukubaliki. Bye.
kama ni west to Manyoni probably ni barabara ya Tabora ileThe B-129 road leads west to Manyoni, followed by the B-141 road north to Singida.
Huyo yupo B-141 north to Singida, 43 km from B-129 which goes west to Manyoni.kama ni west to Manyoni probably ni barabara ya Tabora ile
Hizo ni barabara za Tanzania, hapo ni Singida karibu na Isuna, km 43 kutoka Manyoni.Hajataja ni nchi gani, kuna wengine mwendo huo kwao ni sawa
Your point is well-taken accidents often involve multiple factors, not just speed. However, speed is a significant contributor and should not be overlooked. Investigations similar to "Aircrash Investigations" could help uncover the full range of causes, including poor brakes, road quality, or other issues. By addressing all these factors together, we can create more effective solutions and not rely solely on speed as the cause.Mr SafetyVigilance why so paranoid about speed in isolated manner.
I would suggest Tz to start doing investigations after accidents to uncover the real reason why accidents or mishap occur. Something akin to Aircrash investigation or Seconds before disaster. We want to know all the reasons.
We shall then avoid cheap answers of the sort of; It was speeding or He was sleeping and or he saw a mysterious object in the middle of the road cmooooon! Really?
I am afraid we can be attacking speed tu kumbe ni poor quality of brakes maybe, or poor quality of roads and tyres. If we investigate we can get all the players to reduce accidents and not depends on whims of a driver speed only. Among the players TBS, Latra, Wakala wa vipimo, Usalama barabarani, Anaye supervise gereji nk
A small example: if we were doing investigations and reporting the failure to wear seatbelts properly and outcomes to a person in accident, we could be getting more people shouting to transporters about seatbelts than about speed. Contrast to the situayion now where you find a person standing without a seatbelt to shout to tge driver about safety in terms of speed😑
I agree, speed is one of the factors that should not be overlookedYour point is well-taken accidents often involve multiple factors, not just speed. However, speed is a significant contributor and should not be overlooked. Investigations similar to "Aircrash Investigations" could help uncover the full range of causes, including poor brakes, road quality, or other issues. By addressing all these factors together, we can create more effective solutions and not rely solely on speed as the cause.
Pia nguvu ingewekwa kwenye kuboresha mfumo wa usimamizi wa haya kabla ya dharura kutokea itasaidia kupunguza ajali.
Mkuu kwema?
Kwema, nilihitaji maoni yako mzee wa road trip..Mkuu kwema?
Kwa bus huo mwendo ni kasi sana. Ila kwetu sisi hapo ni kwenye kona unainua mguu kidogo.😎🤣Kwema, nilihitaji maoni yako mzee wa road trip..
Okay, speed yako ambayo uliwahi kuvunja rekodi ni ngapi per kph/1hr.??Kwa bus huo mwendo ni kasi sana. Ila kwetu sisi hapo ni kwenye kona unainua mguu kidogo.😎🤣