14 february each year

Evz

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
674
Reaction score
130
katika siku ambazo huwa najisikia furaha kwangu ni kila tarehe ya 14 mwez wa pili. Kw kuwa huwa napata zawadi nyingi sana siku kama hyo. Huwa najiandaa kupata zawad zaidi kwa kuwa ndio siku ya kuoneshana upendo wa dhati. Ningependa kujua je na wewe huwa unapewa zawadi?. Tuelimishane matusi hayatakiwi.
 
i used to hate it ila toka nimpate mr. right nikaolewa, yani naifurahiaje
 
Inaelekea unao wanaume wengi ndo maana ikifika ho tarehe unakuwa na furaha
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kupokea wala Kutoa zawadi siku hiyo
 
nafikiri siku zote zinapaswa kuwa za kuonyeshana upendo wa dhati na sio hiyo peke yake,upendo wa kuonyeshwa siku moja nadhani umekaa kinafiki zaidi.
 
HARUFU hlo jna lako lnantsha wee
 
Last edited by a moderator:
Mla vya wenzie na vyake huliwa,endelea kupokea lakini nawe utakapaoombwa utoe.
 
unapataje muda wa kukumbuka hayo mambo, ina maana unasubiri zawadi mpaka tarehe hiyo tu?
 
hiyoo siku huwaga ya mikosii sana kwangu..hata siipendii!sijawahi pewa wala toa zawadi siku hiyoo!:A S cry:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…