JAMHURI JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 449 Reaction score 60 Aug 1, 2018 #1 Watu 13 wamefanyiwa upasuaji wa macho kutokana na matatizo mbalimbali yakiwemo jicho la Mtoto na vikope. Saraweki Mberwa mmoja wa Madaktari katika Hospitali ya Anglikan Diosis ya Kiteto ADK, alieleza kuwa lengo ni kuondoa upofu Kiteto. Alisema Wilaya ya Kiteto inakabiliwa na tatizo la mahonjwa ya macho kutokana na maisha ya wenyeji wamasai. Kwa upande wa wagonjwa wameelezea Opetesheni hiyo kuwa ni msaada kwako kwani huduma hiyo inapatikana Karibu na wao Awali huduma hiyo ilipatikana hospitali ya Mvumi ya Dodoma tena kwa gharama kubwa.
Watu 13 wamefanyiwa upasuaji wa macho kutokana na matatizo mbalimbali yakiwemo jicho la Mtoto na vikope. Saraweki Mberwa mmoja wa Madaktari katika Hospitali ya Anglikan Diosis ya Kiteto ADK, alieleza kuwa lengo ni kuondoa upofu Kiteto. Alisema Wilaya ya Kiteto inakabiliwa na tatizo la mahonjwa ya macho kutokana na maisha ya wenyeji wamasai. Kwa upande wa wagonjwa wameelezea Opetesheni hiyo kuwa ni msaada kwako kwani huduma hiyo inapatikana Karibu na wao Awali huduma hiyo ilipatikana hospitali ya Mvumi ya Dodoma tena kwa gharama kubwa.