13 dangerous things wives are doing

Kila kitu tufanane tu. Shenzi. Kubali hiyo inawahusu wanawake tu.
😂 😂 😂 ndo ukweli sukari yetu. Mnakwama pale unapokuwa na over demand... Ingawa hamjui coz mnashindwa kujua kiasi chenu cha kufanyiwa hayo yote ili na nyie muwe na cha kuwafanyia wake zenu... Wanaume wanaolijua hili wana enjoy sana kwenye ndoa zao...
 
Daa,hizi mambo umkute mkunaji(sorry siko nje ya mada nimeona hiyo PC) Halafu mbona namba 8 umeamua utudhalilishe kabisa wanawake?
Amesahau kuwa wanaume wanakuwa na mavitambi ya hatari mpaka wanapungukiwa nguvu za kiume..
 
Hivi ni kwanini akina mama/dada wakipewa ujumbe badala ya simply kuupokea na kuukubali ni lazima wageuzie na upande wa pili!!? Mfano kama post # 3 hapo juu...kwani ni mashindano?
Nimekubali bila shuruti ILA Kuna vitu vinahusika pande zote...
 
Nimeishia kutazama picha tu.
Ziko poa sana.

Wale darasa la pili B, tumesubiria msamaria atutafsirie.
Janjajanja Primary School
Tungoje RAS SIMBA Aje
😂😁😀😃😄😅
 
Hayo uliyoyaandika utayasemaje kwa Kiswahili?
 
Mi nnavojua wanaume wanahitaji wanahitaji..1 heshima yaan umtii kama mume..2 sex woman..3 sex...sasa wanawake wanakoseaga sana kuruhusu miili yao kuchange wakishazaa..wanaume wote wanapenda mwanamke sex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…