Baraka hiyo laptop haina tatizo lolote?
Imetumika mda gani tangu imenunuliwa?
Ukinijibu haya maswali nakutafuta mkuu
baraka607 naomba nikutafute baadae baadae kweli nna uhitaji lakini kwa sasa nimefanya transaction moja imenipunguzia mfuko.Haina tatizo lolote na imetumika miezi miwili tu. Ukiiangalia huwez hata kujua kama imeshawah kutumiwa. Hii ni biashara yangu ya kuuza electronics kwahiyo usiwe na hofu.
nimekucheki ila namba yako haipatikaniNajua mkubwa, ila ukiwa mteja serious ukipiga simu utaelekezwa ufike. Ila kwa manufaa ya wakuu wengine ni sinza opposite na mlimani city.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums