12 spectacular new bridges that break the mold

Naamini mengi yatakuwa China.

Ingekuwa vyema tungejuzwa zaidi kama yako maeneo gani.

*yanafurahisha sana lakini
 
Angalia post # 13 kuna link hapo chini bofya hapo ili ujue yapo nchi zipi duniani.

Naamini mengi yatakuwa China.

Ingekuwa vyema tungejuzwa zaidi kama yako maeneo gani.

*yanafurahisha sana lakini
 
Safi sana aisee wanatumia kodi zao vizuri,huko hakuna sarakasi za IPTL wala RICHMOND au ESCROW.
 
Ni muda umepita sijasikia haya maneno murua, "sitawaangusha, mniombee"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…