110 dead, still counting. Kenya floods turn deadly

110 dead, still counting. Kenya floods turn deadly

OwadeKuya

Senior Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
141
Reaction score
152
As the rain continues to pound different parts of the country, the situation is shifting from emergency to full-blown humanitarian crisis. Death toll iko 110+, but the reality on the ground? Inaweza kuwa worse kuliko hizi numbers zinaonyesha.

Rescue operations bado zinaendelea, but let’s be honest response imekuwa slow na uneven. Some areas are getting help, others wameachwa kujisaidia. Watu bado wamekwama kwa rooftops, wengine kwa marooned villages wakisubiri msaada.

Na sasa focus inaanza kuhama kutoka rescue to survival. Thousands of displaced families hawana food, clean water, wala sanitation. Hii ndio point ambapo diseases kama cholera na typhoid huanza kuingia quietly.

Swali ni: Are we prepared for the next phase — ama tutashangaa tena?
Meanwhile, serikali inaendelea ku-issue warnings: “move from flood-prone areas.”
Lakini ukweli ni huu wengi hawana option. Unaambiwa uhame, lakini uende wapi? Rent iko juu, jobs ni chache survival inasukuma watu kubaki kwa risk zones.
  1. Who approves these constructions?
  2. Who looks the other way?
  3. Who fails to enforce planning laws?
Hii si blame game rahisi ni system failure. At the same time, climate change inaongeza pressure. Rains are becoming more intense, less predictable. Lakini countries zingine zinadapt sisi bado tunareact.

Reality check:
Leo ni floods. Kesho itakuwa drought.
Na kila time, the same cycle: panic → response → forget → repeat.

Jamii Forums Talk Point:
Should Kenya declare floods a national disaster with long-term funding and planning? Ama tutangoja next rainy season tuanze hii conversation tena? And here is where the debate gets uncomfortable…

Je, tunapaswa kulaumu citizens pekee?
Yes, building on riparian land ni risky.

Source: The star
 
Kenya likiwaka jua ni shida, ikinyesha mvua ni shida.Katika hali zote ni shida huko Kenya.
 
Back
Top Bottom