11 Common Interview Questions That Are Actually Illegal

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2008
Posts
870
Reaction score
170

CHANZO KIKUU: 11 Common Interview Questions That Are Actually Illegal - Yahoo! Finance

Do our employers here in Bongo know this??!!
 
Mimi sidhani kama wanajua hii kitu mkuu
 
Nimefanya untervuew kibao an yet cjawah kukutana na hch k2. By the way kuna kaz zngine zinataka m2 aczd umri flan, sasa u find a person anaonekana mkubwa au mdg sana thn the age declared. Unafkr wataacha kuuliza?
 
Kuhusu umri inaweza kuwa muhimu kwa sababu huwezi ajiri mtu ambae unampa position itakayokulazimisha kumuendeleza kielimu na huku anategemea kustaafu baada ya miaka 2. Ni kama serikali yetu, unakuta mtu ana miaka 56 na anaenda kufanya masters analipiwa na ofisi. Mnampa masters ya kwenda kustaafu akatunze wajukuu ama? Na vijana wa miaka 30 unawaacha wanauza sura ofisini!
Waswahili tunaambiwa tutoe birth certificate. Sio tu itaonyesha umri lakini pia kuna suala la work permit. Ni muhimu mwajiri ajur utamgharimu kiasi gani kukumaintain. Na hata kama ni mshahara atajua anakupa ngapi na ngapi zinalipwa kodi.

Suala la kuwa arrested sidhani kama linaulizwa, lakini swalini 'criminal record'. Kama uko kwenye probation kama sheikh ponda ni muhimu mwajiri ajue ili asije akakutia matatizoni.

Maswali mengine yote sio relevant.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…