100k, 250k....

Hivi huwa kuna tatizo kumjibu mtu pasipo kumsimanga,Au kuna watu wanajua kila kitu humu duniani?Mara una elimu gani mara ulikimbia hesabu...yote ya nini,toajibu kaa kimya.
 
Mkuu umefanya vema kuuliza kuliko km ungejifanya mjuaji.

Mkuu ningejifanya mjuaji ningeweza kuumbuka kwahiyo nikaona ni bora niulize maana aulizaye anataka kufahamu...niko pamoja nawe.
 
Hivi huwa kuna tatizo kumjibu mtu pasipo kumsimanga,Au kuna watu wanajua kila kitu humu duniani?Mara una elimu gani mara ulikimbia hesabu...yote ya nini,toajibu kaa kimya.
Sindoapo yani ni bora tuwaambie ukweli..asante sana mkuu.
 
Hili ndo linaweza kuwa jibu sahihi kabisa
 
Hivi huwa kuna tatizo kumjibu mtu pasipo kumsimanga,Au kuna watu wanajua kila kitu humu duniani?Mara una elimu gani mara ulikimbia hesabu...yote ya nini,toajibu kaa kimya.

Hao wanao mponda mtoa mada ndo hesabu imewapitia kushoto kabisa
 
Kwani lazima wote tusome mathematics? Elimu imegawanyika bana.

Hesabu ni lazima pia ni basic kama basic needs za maisha kwa mwanafunzi mpaka darasa la 12 jAmani tusidanganye labda msime fizikia kemia na history. Kama haukusoma ila ulifanya mtihani wake wa Taifa la saba na kumi na mbili.
Kubali tu ilikupita kushoto hakuna shida ni kweli sio lazima wote tuwe na kipaji kimoja kuna mgawanyiko mkubwa wa majukumu na vipaji ili
 
Well said
 
Mmh wewe ndio umechanganya madesa hiyo 'K' kwenye 'KB' ni kilobytes(kilo-bytes) so hata hayo mahesabu ya kicomputer yamechukua kwenye "kilo" ambalo ni neno la kigiriki ambalo linamaanisha 'elfu moja'(thousand) . Linatamikaga kwenye mahesabu kuwakilisha namba fulani mara elfu moja , hata Y2K unayoisema kirefu chake ni 'Year 2000' aka 'Millenium Bug' ....
 
Ukiona 10k ni sawa na 10 grand yaani elfu kumi, kama ni hela inatumika zaidi UK, kwa hiyo kimaandishi unaandika 10k na kutamka 10 grand
 
Hebu niambie, kuanzia darasa la kwanza hadi hilo la 12 ulilosema je ni darasa la ngapi kwenye somo la hisabati zinafundishwa hizo bits, bytes, kilobytes, megabytes, gigabytes, terabytes, sijui 300k, 250k...na ndomana mchangiaji mada mmoja akasema hiyo ni field nyingine kabisa ya kikompyuta...ushanielewa sasa?
 
Siyo hiyo field ya kikomputa tu.
Hata kilo meta kilogramu kilo joule millimetre millipede centipedes kilowat Megawatt na zinginezo
 
Hivi huwa kuna tatizo kumjibu mtu pasipo kumsimanga,Au kuna watu wanajua kila kitu humu duniani?Mara una elimu gani mara ulikimbia hesabu...yote ya nini,toajibu kaa kimya.

Au pengine ukiwa na elimu ya std7 nimakosa kuwa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…