100000(laki moja) nahitaji digital camera used.

nahitaji haraka iwezekanavyo!
 
na hivi aina ni nzuri... hata mimi nahitaji
 
IWE NA MP10 NA KUENDELEA. KM UNAYO NI-SMS AU PIGA 0655730673. nipo kibaha


mkuu camera ipo ni canon 12mp + 4gb tatizo ni kwamba unahitaji haraka pia itakugharimu laki moja na elfu 40.itakua imefika dar jumatano kama bado hujafanikiwa rudi tena kwa maelezo. pia itakua na guarantee ya miezi 3. picha haikuwezekana tayari ipo njiani. haina tatizo lolote.

ahsante.
 
Nashukuru sana nimeshapata fujifilm mp 10. Jf ni kila kitu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…