Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,597
- 1,072
Kila ninunuapo nguo Kariakoo na kwinginepo Tanzania kiambatanishi cha maelezo (label) huonyesha kiasi cha pamba ni 100% lakini kiuhalisia ni material tofauti, yaani polyester au synthetic 100%. Juani zinatuchoma na kutuunguza ngozi.
Viatu tunaambiwa ni Pure Leather lakini ni mfano wa ngozi ya kutengeneza.
Wadau nauliza huu ubatili huu kwenye soko unasababishwa na nini. Kwanini walaji tunaibiwa hivi. Nani analinda walaji?. Unanunua Shower basin laki moja unaweka bafuni baada ya wiki linakatika.