Dr. Chapa Kiuno
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 443
- 18
Endapo condom ikavuliwa vibaya na kwa bahati mbaya maji maji ya ukeni yaliyopo juu ya condom yakagusana na yale ya uume ikiwa bado haijatoka uumeni yote....so mfano kwa mwanaume ukafanya round moja tu bila mpira, and kama mchubuko wowote haukutokea, risk iko vp hapo. Pia, naomba elimu juu ya jinsi virus anaweza kuingia kwa mwanaume kama mchubuko wowote haukutokea. thx