Hii traveller ilikuwa series moja kali Sana.
Si ndio ile jamaa wameingia museum, wanatoka tu inalipuliwa halafu ghafla anatangazwa kuwa ndio suspect wa kwanza.
Sasa zile mishe za kuwakwepa Police halafu jamaa ni raia tu wa kawaida ni hatari. Halafu nani kalipua ile museum na kwanini yeye awe suspect namba moja ni balaa.