10 Great Rules that will help you remain poor all your life


Jamani nimeipenda sna hii na nimejaribu kutafsiri mpaka mstari wa nne, wengine waendelee kutafsiri kwa faida ya wengi. Nirekebisheni kama kuna makosa katika tafsiri yangu, kwani sielewi kutafsiri vizuri (siyo fani yangu).
 
No:11...Kama weee ni wa kiume hakikisha huwaachi wadada wazuri wanaokatisha mbele yko..vizuri havijirudii...
 
Aaaah, kumbe wewe ni Lowassa?
Mm sio Lowasa mkuu. Loawasa zamu yake ilikuwa 2015 kugombea urais. 2020 ni zamu yangu na lazma nishinde maana cjaona mgombea wa kunipiku
 
Members wa Ukawa wanafit sana hapo point no.6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…