mkuu kuna hiiView attachment 169990belila hotel tanzania
mkuu kuna hiiView attachment 169990belila hotel tanzania
Sio Belila mkuu ni Bilila...
Ipo sehem gan hii bilila
du kumbe bei powa kabisa dola 950 kwa usingizi mmoja?Ipo Serengeti National Park, zamani ilikuwa inaitwa Bilila, sasa yaitwa Four Seasons Safari Lodge, Presidential Suite ni bei poa sana ni $ 9500 per night.
Double room $ 950 full board..Karibuni sana watanzania..
doooh.., bila shaka hoteli hii haikukusudiwa kwa makabwela km mieIpo Serengeti National
Park, zamani ilikuwa inaitwa Bilila, sasa yaitwa Four Seasons Safari
Lodge, Presidential Suite ni bei poa sana ni $ 9500 per night.
Double room $ 950 full board..Karibuni sana watanzania..