11. As you wish darlin weeee
Hahaha akifanya as he wish kunawaka
Teh anakuwa anajua kilichomaanishwa, so akifanya ni kibri tu
Sasa kwanini hamuwi specific
"Whatever" tunamaanishaga pia "fck you"
Ww una hasira sana dhidi ya wanaume, kuna kitu hujafanyiwa vizuri kwa muda mrefu!!!
Sijapewa hela, nipe basi unitoe hasira zangu
Sio hela kuna kitu tuuu,mi sipendi upate shida unazopata nw,halafu cku ile yule jamaa aliyemkopesha mfanyakazi laki 6 akawa analalamika humu mmama hatak kumrudishia ulisema hyo laki 6 haitoshi hata wigi,dah sa cjui mi ntakupa sh ngapi angalao uridhike!
Nipe tu hata hicho unachoona sikipati, kwenye hela hebu anza na jaribio la million 2 afu unione kama hasira zitapungua au vepe
"Whatever" tunamaanishaga pia "fck you"