10 Animals you never knew existed

Mimi huwa najiuliza tu specie wote mil 1.3 Noah aliwezaje kuwaweka kwenye safina.. tena kumbuka aliweka in pair inamaana ni 1.3mil × 2..

Hio safina ilikua na ukubwa gani??
 
Mimi huwa najiuliza tu specie wote mil 1.3 Noah aliwezaje kuwaweka kwenye safina.. tena kumbuka aliweka in pair inamaana ni 1.3mil × 2..

Hio safina ilikua na ukubwa gani??

safina ilipatikana wala haikuwa kubwa saana, ilikutwa juu ya mlima fulani but imefukiwa na udongo kama unavojua vitu vya zamani mfano miji ipo chini ya ardhi au baharini
kuhusu viumbe nadhani mungu aliumba vipya kama kweli issue ya safina ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…