Kuna ile nyingine ilikuwa ni video clip ya muvi wakadai eti imekutwa baada ya ile ajali ya Air France iliyokuwa inatokea Brazil to Paris, kumbe wajanja tulishaonaga kuwa kale ka-clip wamekakata kutoka kwene muvi flani hivi..inashangaza hizi hobbies za watu na uongo wao.