0629600*** ni namba ya kampuni gani

Hiyo ndg ni namba ya mtandao wa HALOTEL Uliosambaa tz nzima kwa 95% wenye internet yenye kasi zaidi Tanzania.....ofa kibaoooo. ni mtandao uloletwa na wa vietnam
 
pokea tu simu usijali bali watz wachache wajinga wanasambaza kuwa ni namba za freemason si kweli bali ni mtandao mpya ambao 3G mpaka vijijini
 
ALOTEL - Iko sana mbeya, sumbawanga ni chep na ina fast connection kali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…