Hatimae leo nimefanikiwa kutoa pesa iliyokuwa kwenye simu yangu kwa Uchungu mkubwa.
Kabla ya makato ya serikali nilikuwa na mazoea ya kuweka pesa yangu ya akiba kidogo kwenye simu na nyingine cash kwenye kibubu,
siku moja kabla ya ongezeko nilitumiwa meseji kuhusu makato nilijua yatakuwa madogo...