Ndugu zangu naleta kwenu hii Nadharia ya Mwisho wa Dunia kwa mujibu wa Mafundisho ya Sauti ya Unabii kutoka kwa Elen G White.
Hawa wenzetu wasabato wanaamini kipindi cha Mwisho wa dunia kimeshawadia kwa hiyo kinachosubiriwa ni Ujio wa Yesu Kristo Masihi.
Andiko hili litakuwa endelevu kadiri...