zimepanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

    Soda Tsh 600 badala ya 500 Maji ya Hill/Uhai 600 badala ya 500 Mafuta alizeti lita 5, 39,000/= badala ya 22,000/= Nondo milimita 10, 20,000/= badala ya 12,500/= Alizeti ya Singida inaathiriwa vipi na vita ya Ukraine? Mafuta ya Arizeti yapo kwenye magodown ya wahindi wanabana ili wacheze na...
  2. Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya kimya. Je, ni censorship ya aina yake?

    Ni mwendo ule ule, umafia wa kimya kimya, kwa Voda na Tigo wameanza kutesti mitambo kwa kkupunguza GB za vifurushi vya mwezi. Kuanzia sasa tutegemee lolote, hii ni trailer tu, bado muvi kamili ya machinjo yatayofanyika kimya kimya gizani usiku wa manane, nadhani tunaweza kuamka asubuhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…