Mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu, Dk. Zakir Naik, anaendelea kutajwa na wafuasi wake kuwa mmoja wa wahubiri wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani, baada ya kudaiwa kuwa amechangia kusilimisha zaidi ya watu 100,000 kuingia katika Uislamu kupitia mihadhara yake na mijadala yake anayokuwa anafanya...