zaiylissa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    ZaiyLissa kuandaa party aliyoiita 'Usiku wa Talaka' adai sio shida zake kufanya sherehe, "kwa nini niolewe na sherehe na nitoke bila sherehe?"

    MOJA ya habari zinazotreni mitandaoni na vyombo vya habari ni iliyokuwa ndoa ya Haji Manara na Zaylissa ambayo imefikia mwisho na inaelezwa mwanadada huyo amepanga kushusha bonge la pati kusherehekea talaka yake. Zaylissa amesema ataandaa sherehe hiyo atakayoipa jina la 'Usiku wa Talaka' kwani...
  2. Just Pray

    Zaiylissa: Namshukuru Mungu kwa kunitoa gizani na kunielekeza kwenye mwanga, Ilikuwa uamuzi mgumu sana, lakini leo nimesimama

    "Namshukuru Mungu kwa kunitoa gizani na kunielekeza kwenye mwanga. Ilikuwa uamuzi mgumu sana, lakini leo nimesimama nikiwa na nguvu zaidi na nimejaa azma kuliko wakati wowote. Nimebarikiwa na ninafurahia kufanya kazi na chapa (brands) nzuri kama balozi wa chapa (brand influencer), njia ambayo...
  3. S

    Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

    Leo imekua siku chungu kwa Manara, wakati Simba akivuka robo fainali kwenda Nusu Fainali Mke wake nae kavuka kutoka ndani ya nyumba mpaka mtaaani
Back
Top Bottom