zainab telack

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PreGE2025 Mkuu wa mkoa wa Lindi Zainab Telack asema Rais Samia ni Rais wa kujenga Taifa

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack, amemsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi zake kubwa katika kuleta maendeleo, akimtaja kama "Rais wa Kujenga Taifa." Akizungumza Machi 15 katika Mkutano wa Diwani wa Ilani uliofanyika Kata ya Narungombe, wilayani...
  2. upupu255

    PreGE2025 RC Lindi, Zainab Telack akagua Ujenzi wa Shule ya Bil 7.8

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. RC Zainab ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Shule na Miundombinu ya elimu, yenye...
Back
Top Bottom