Hivi jamani... 🤔
Yanga inachangia CCM milioni 100 , halafu inarudi tena kwa wanachama wake kuwaomba michango ya uanachama.
Sasa cha kuchekesha ni kwamba hao wanachama sio wote wa CCM, wengine ni CHADEMA, CUF, ACT, UDP, TADEA, TLP… yaani kimsingi hata Mpira wa miguu una vyama vingi zaidi ya...