yanga kuichangia ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Life2

    WanaYanga Shusheni mapanga yenu chini

    Siku kadhaa zilizopita kulitokea sintofahamu baada ya chama la Yanga kuchangia kwenye harambee ya CCM Tsh milion 100 ni mengi sana yaliibuka na yanaendelea kuibuka. Kuna wale wanaoichukia Yanga kuanzia utoto wao, kuna wachambuzi uchwara, kuna mashabiki wa Simba na wao pia wamepata pa kutolea...
  2. Labani og

    Kama huitaki CCM hama Yanga, wanaotukana Yanga kuichangia CCM ni wanasimba

    WEWE KAMA HUITAKI CCM HAMA TIMU HARAKA Huwezi kufurahia matunada matamu ya mti ila ukauchukia mti unaozalisha matunda hayo. Sisi kama YANGA tuna historia yetu wewe ukijiona tu unaumia YANGA kuichangia CCM basi ujuwe wewe ulipaswa Kushabikia upande mwengine . Tutaendelea kuichangia CCM kwa...
Back
Top Bottom