yaharibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Magari ya Mangi yanaharibu Nyumba Kikuba-Tukuyu

    Natokea Kijiji Cha Kikuba-katumba-Tukuyu-Rungwe. Kero yangu ni kuwa barabara inayoenda kwa kiwanda Cha MANGI(MAPOMBE) kutoka kiwanda Cha chai.. Huyo MANGI anapitisha magari makubwa mfano Mende na scania ambazo zinafanya nyumba zetu kupasuka Kwa mitikisiko na mpk kuanguka. Tunaomba Serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Ukraine yaharibu ndege vita za Urusi

    Habari zilizopo kwa sasa na uthibitisho wa video ni kuwa Ukraine imefanikiwa haribu ndege vita zaidi ya 40 ndani ya Urusi. Haijulikani wamefanikiwa vipi kwani umbali huo FPV drone haziwezi fika Siku ya jana pia wamefanikiwa lipua madaraja mawili ndani ya Urusi SSB chini ya Budanov ni habari...
  3. JamiiForums Tanzania Ukraine yaharibu ndege vita 40 za Urusi leo

    Ukraine imesema imekamilisha shambulio lake kubwa zaidi la masafa marefu tangu vita na Urusi kuanza, baada ya kutumia droni zilizosafirishwa kwa siri kushambulia kwa pamoja ndege za kivita takriban 40 katika kambi nne za kijeshi nchini Urusi siku ya Jumapili. Rais Volodymyr Zelensky alisema...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ukraine yaharibu daraja muhimu ndani ya Russia.

    Ukraine imeharibu daraja muhimu kimkakati juu ya mto Seym, wakati inaendelea na uvamizi wake katika eneo la Kursk nchini Urusi. Maafisa wa Urusi wamenukuliwa wakisema operesheni hiyo karibu na mji wa Glushkovo imekata sehemu ya wilaya ya eneo hilo. Daraja hilo lilitumiwa na Kremlin kusambaza...
  5. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: 9 wajeruhiwa katika vurugu kati ya wafugaji na wakulima baada ya Mifugo kuharibu takriban ekari 1,800 za nafaka

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai ameagiza kukamatwa mifugo 1,450 iliyoingizwa kwenye mashamba ya wakulima eneo la West Kilimanjaro, Wilaya ya Siha ambayo imeharibu zaidi ya ekari 1,800 za ngano na maharage. Kagaigai amechukua hatua hiyo leo Jumapili Julai 10, 2022 baada ya wafugaji...
  6. JamiiForums Tanzania Ukraine yaharibu Boat binafsi ya Rais Putin

    UKRAINE destroyed Vladimir Putin's "personal parade boat" the Russian leader uses to inspect naval fleets in a laser-guided bomb attack off Snake Island. Ukraine claims to have destroyed Putin's 'parade boat' Ukrainian forces have shared the incredible moment they claimed to take out Vladimir...
  7. JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: Urusi yaharibu miundombinu ya reli kuzuia silaha za kigeni kuingia Ukraine

    Urusi iligonga miundombinu ya reli kote Ukraine siku ya Jumatatu kwa lengo la kuzuia usambazaji wa silaha za kigeni, huku Marekani ikitangaza kuwa itatoa silaha zaidi licha ya pingamizi la Moscow. Takriban watu watano waliuawa na 18 kujeruhiwa katika mashambulizi ya Urusi katika eneo la...
  8. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini yaharibu chanjo 60,000 za Corona

    Sudan Kusini yaharibu chanjo 60,000 Corona. Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopitaImage caption: Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopita. Sudan Kusini imeharibu chanjo za virusi vya corona aina ya AstraZenica ikisema kuwasili nchini humo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…