Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Ahmed Makarani amethibitisha tukio la kuuawa kwa mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Qash iliyopo wilayani Babati, mkoani Manyara, Yohana Konki (17) kwa madai ya wizi wa kishkwambi.
Soma pia: Wizi Shule ya sekondari Kwa Shungu Ifakara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.