Wizara haitatoa vizimba wala boti tena kwa wavuvi, hiyo ndio taarifa rasmi ambayo bado haijawa rasmi.
Serikali imeamua kufanya hivyo kutokana na ukosefu wa fedha hasa ikizingatiwa bajeti kadhaa zimepita.
Hii taarifa nimeipata kutoka Wizarani Dodoma.
Wafanyabiashara na madreva huko Moto umewaka.
Kisa ni export royalty ambayo ilitakiwa wafanye majadiliano mambo yaishe.
Wakusikia na asikie.
Watu wanawaza mengi juu ya utendaji na watendaji wa wizara husika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.