The Party for Democracy and Progress (Swahili: Chama cha Demokrasia na Maendeleo), commonly known as Chadema, is a centre-right political party in Tanzania.
Chadema is the second-largest political party in Tanzania and campaigns on regional autonomous of self-governing states in the country.
Wakuu,
Akizungumza kwa njia ya mtandao Wilbroad Slaa ametaka Watanzania kuvaa nguo nyeusi ili kuonesha kumuunga mkono Tundu Lissu hasa siku ya kesho ambapo kesi ya Lissu itakuwa inasikilizwa
"Asubuhi kesho vijana wavae nguo nyeusi ishara ya kuonesha kuwa huyu Jemdari wetu tuko pamoja nae"
Habari ya jion wanajanvi.
Ningependa kujua alipo gwiji uyu wa siasa apa Tanzania na ni lipi neno lake kuhusu kesi hii ya Lissu na hususan baada ya taarifa ya leo kuhusu wale waitwao mashahidi wa siri.
Wakuu,
Hivi kwa hali ya siasa ilivyo sasa hivi nchini, huyu mzee hawatajaribu kuruka nae kweli? Maana hizi spana
Akiwa anazungumza kwenye mkutano wa No Reforms No Election, Slaa amesema kuwa huenda Samia hana tumbo la uzazi maana watu wanatekwa na yeye yuko kimya akiwa anajiita chura kiziwi...
Dkt Wilbroad Slaa akizungumza na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambacho kinakwenda na kauli mbiu ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chadema Taifa Dokta Wilbroad Slaa, amesema kuwa kwa sasa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ila atabaki kuwapigania wananchi.
Slaa ameeleza hayo wakati wa mahojiano maalumu baada ya kuzuka kwa tetesi zinazoeleza kuwa kurejea kwake Chadema ni kutaka...
Akihojiwa na redio ya Kyela FM, ya wilayani Kyela, ambako anashiriki kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendelea Nchi nzima, Dkt Slaa amesema kwamba lengo la kujiunga na Makamanda wa Chadema ni kwa faida za vizazi vijavyo, na kwamba kwa umri alionao hana haja ya kugombea Urais.
Zaidi...
Mbeya, Tanzania – Machi 23, 2025 – Katika hatua muhimu kwa upinzani wa Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu wa Chadema na mgombea urais wa chama hicho mwaka 2010, amejiunga tena na chama.
Hafla hiyo, iliyofanyika katika uwanja wa Ruanda Nzovwe huko Mbeya, ilishuhudia...
Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano ya moja kwa moja na Jambo TV, mwanasiasa maarufu ambaye alishawahi kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010, Wilbroad Slaa amesema kuwa sio sahihi kwa Rais kusifiwa kwa kutekeleza miradi ambayo imefadhiliwa na kodi za watanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.