Kuna mzee mmoja anaongea mambo ya maana tena mbele ya Rais.
Wakati nchi ya Singapore ilipohitaji kujiimarisha kiuchumi Rais Lee Kuan Yew alimfuata jamaa mmoja aliyekuwa ni muhasibu akamuomba aje awe Waziri wa Fedha alisaidie taifa lake. Jamaa akaacha mshahara mkubwa akaja serikalini akilipywa...