wilaya ya ludewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Umeme unakatika sana hadi inakera maeneo ya Matika, Wilaya ya Ludewa (Njombe)

    Kero yangu ni kukatika-katika kwa umeme mara kwa mara katika eneo la MATIKA, Kata ya Lugarawa, Wilaya ya LUDEWA, Mkoa wa Njombe huku wahusika wakikaa kimya bila kufanyia ufumbuzi suala hili, tunaomba TANESCO Wilaya ya LUDEWA watueleze ni lini tatizo hili litakwisha maana imekuwa ni kero kubwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Makala ya Maji ni Uhai - Wilaya ya Ludewa

    Channel Ten- Saa 2.30 Usiku (Saa Mbili na Nusu Usiku) Leo hii Jumatano Tar 14/08/2024 Karibuni sana kutizama Makala maalum ya Maji ni Uhai- ambayo inaangaza kazi ambazo zinaendelea kufanyika katika Sekta ya Maji Wilayani Ludewa. Karibuni mjionee kazi kubwa anayofanya Rais wa Jamhuri ya...
Back
Top Bottom