Wakuu nasikitika kutangaza kifo cha diwani huyo na mwana JF mwenzetu.
Diwani Kata ya Shelui, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida kupitia chama Cha Mapinduzi CCM, Agnes Nasania Amos amefariki dunia ghafla.
Mwenyekiti wa Halmashauri Innocent Msengi, Baraza la Madiwani, Menejimenti na Watumishi wa...