Mwanaume mmoja katika mji wa Tamale, Mkoa wa Kaskazini nchini Ghana, amevutia hisia baada ya kutumia mbinu ya kipekee ya kulinda nyumba yake dhidi ya wezi kwa kuwapatia vijana wa eneo hilo huduma ya Wi-Fi bure.
Baada ya kukamilisha ujenzi wa nyumba yake, mwanaume huyo alianza kutafuta namna ya...