wendawazimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni Wendawazimu kujificha kwenye Kichaka Cha Dini. Ni kupoteza Uelekeo na kufunika Kichwa Ardhini Ukidhani wenye akili Hatukuoni

    assalaam alaikum wa rahmatullahi wabalakatuh... huu naandika nikiwa nimekasirishwa na matukio ya watu kadhaa kuamua kujificha katika dini ili kudendeleza tabia cao chafu za njaa, unafiki na chuki. ni aibu kuwa sasa hivi kama Mtu atamkosoa Rais Samia itadaiwa ni sababu ya Dini yake. Huu ni...
  2. JamiiForums Tanzania Huu ni wendawazimu

  3. JamiiForums Tanzania Katika uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu ni 'Kupita Bila Kupingwa' kwenye chaguzi chini ya awamu ya 5

    Mimi nikiulizwa nitaje uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu nitataja vihoja vya chaguzi mbili tatu ambazo wagombea kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa. Ule ulikuwa ukichaa kamili uliofanywa na watu wasio vichaa.
  4. JamiiForums Tanzania Vichaa huona nini?

    Naumia sana ninapomuona mtu mwenye matatizo ya akili'(ufahamu), wengine huita vichaa ama wendawazimu. ... Baadhi yetu tuna tabia ya kuwafukuza na wakati mwingine kuwapiga kabisa. KUMBUKA! Hawa nao ni binadamu wenye ndugu jamaa na marafiki! Wengine wana watoto... Ni jambo la kijamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…