Mbunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde, amempongeza na kumuhimiza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, kuendelea kutenda haki bila woga wala upendeleo, licha ya vitisho anavyopokea kutoka kwa watu wanaodhulumu wananchi.
Akichangia bungeni leo, Mei 29...