wazima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nini kimesababisha mabadiliko haya? Mabinti wadogo wanapenda watu wazima

    Kuna mabadiliko makubwa sana kwenye jamii yetu siku hizi. Unakuta binti wa miaka 20 anapenda kuwa na mtu mzima wa miaka 40 na kuendelea na wao wanasema ndio wanaofaa kwa mapenzi na maisha kwa ujumla. Nimefanya tafiti nimeshindwa kuelewa, hii ni kwa nini?
  2. M

    Navutiwa na wanawake watu wazima

    Mambo vipi wadau Mimi kijana wa makamo 23 years Nina aleji ya kupenda wanawake watu wazima hususani walio single kuanzia 40 na kuendelea Wengi wao huwa wananikata haja zangu haraka nanikishafanya nao mapenzi basi nalizika tofauti na vibinti vya umri wangu kuna mmoja nilimpenda hadi nikawa...
  3. Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

    Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana wana ladha tofauti kabisa 1. Wanajua mapenzi na ni wasafi wa kiwango cha SGR. Unakula tunda la grade...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…