wazee wa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya purukushani wazee wa Simba na meneja wa uwanja, meneja akubali yaishe akaa pembeni

    Wanajamvi, ikumbukwe hapo jana kuna clip ilikuwa inatembea kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha wazee wa klabu ya Simba wakilalama kutokuwa na imani na meneja wa uwanja. Wakimtaka akae pembeni mpaka mechi yao itakapo kwisha. Ukweli ni kwamba toka jana meneja ameamua kukaa pembeni na kuwaachia...
  2. JamiiForums Tanzania VIDEO: Wazee wa Simba watua kwa Mkapa, hatumtaki meneja wa uwanja

    Wazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa.
  3. JamiiForums Tanzania Wazee wa Simba na Yanga hawatakiwi kwenda Bar mwezi mtukufu?

    Katika sakata na minyukano inayoendelea kuhusiana na kuvunjika kwa dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nimekutana na video clip moja ya baadhi ya mashabiki wa upande wa Yanga wakiwananga wazee wa timu ya Simba kwa kutoa tamko lao wakiwa Bar kuhusiana na sakata hilo. Mashabaki hao...
  4. JamiiForums Tanzania Leo Baleke ni wa kucheza ndondo Magunia Msasani? Tukana/Kashifu watu wote ila siyo Wazee wa Simba SC kwani huwa hatanii wakikuamulia

    Halafu mwambieni asipoteze muda kuwatafuta Wazee wa Simba SC wamsamehe kwani hiyo 'Pini' ni ya kudumu daima.
  5. JamiiForums Tanzania Refa kutunyima Penati ya wazi: Wazee wa Simba watoe tamko.

    Kwanini refa ametunyima penati? Baada ya kipa kupata kadi mbili za njano ilibidi tupate penati ili kufidia dakika zetu. Yani alivyotoa kadi yapili ya njano angetenga mpira kwenye box, na azuie mtu yeyote kukaa golini ili mutale afunge tuongoze ligi. Kwa maamuzi haya ya leo ya refa wazee watoe...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wale Wazee wa Simba waliotoa siku 7 kwa TFF, Wizara ya Michezo na Bodi ya Ligi kuomba radhi baada ya kichapo, zile siku hazijaishaga mpaka leo?

    Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi? Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo...
  7. JamiiForums Tanzania Mnaojua kuhesabu siku bado zile siku 7 walizotoa wazee wetu hazijaisha?

    Mnaojua kuhesabu siku bado zile siku 7 walizotoa wazee wetu hazijaisha? Pia soma - Wazee wa Simba wagundua mbinu zilizo wahujumu mechi ya derby
  8. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuwasikiliza na kutafakari sana naunga mkono hoja za wazee wa Simba kwa asilimia 100%

    Juzi wazee wetu wameitisha Press na wameongea sana, kwa watu wasiojua ball ambapo wamekuja mjini miaka ya hivi karibuni akina Eddo Kumwembe na wachambuzi wenzako wajinga wajinga ambapo elimu zao ni za kuunga kuunga wanachukulia poa kauli za wazee wetu na kuona hazina mashiko. Ukweli ni kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Simba wagundua mbinu zilizo wahujumu mechi ya derby

    Wazee wa Simba wameitisha mkutano na waandishi wa habari na kulaani mambo mengi yaliyotokana na kipigo kutoka yanga. 1. TFF wanapokea maagizo kutoka Kwa mawaziri wakiongozwa na Mwigulu kuhakikisha Yanga wanafaulu Simba wanafeli. 2. Philip Mpango alisema SIKU YA YANGA DAY KUWA YANGA ATAKUWA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…