Tanzania kila inayo itwa leo watu hutapeliwa ,wengi hupotezea kwa sababu ya udogo wa pesa wanazo tapeliwa ….
Fikiria kama ukitapeliwa laki 3,4 au MILLIONI.
Ni pesa nyingi eeh…. Kama haupo makini unapo enda kununua simu au Laptop hasa kariakoo na wewe ni suala la muda tu kutapeliwa…
Kwanini ...
Nimeamua kuandika makala hii bbaada ya kuona watu wengi Wanaibiwa , Kupigwa bei kali na kuuziwa simu feki au Bandia. Mpaka wengine wanaogopa kabisa kununua simu used kutoka nje…
1. Hakikisha Iko na Warranty au Dhamana
Baadhi ya simu zinazotoka Dubai huuzwa bila dhamana, na huwezi kuzirudisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.