Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust, wamesema pamoja na kuendelea na ujenzi wa nyumba ya Mzee Obed Ambonisye, anayeishi kwenye mazingira magumu pamoja na familia yake katika Kijiji cha Matema, Wilaya ya Kyela, Mkoa...
Mko poa wakuu
Nmepata wazo nimeona niwape mumpelekee mama au watu wake wa karibu..
Njooni na iftari ya FTURU NA MAMA..
Hii iwe km give back tu commonly..
Ifanyike kwny chungu cha 28 au 29.
Wahusika wa iftari hii wawe watu wenye uhitaji maalumu km yatima, walemavu wasiojiweza kiuchumi, na...
KUWAHESHIMU NA KUWALINDA WATU WALIO NA ULEMAVU KWA AJILI YA KULIJENGA TAIFA LA KESHO
Tanzania tuitakayo miaka mitano ijayo.
Ni pamoja na kutunga sera, sheria pamoja na kanuni kwa watu wenye ulemavu ili kuwajali, kuwalinda na kushirikiana nao katika maendeleo ya kilijenga taifa la kesho kwa...
Anajua kazi ya Wizara ya Ustawi wa Jamii,Jinsia, Walemavu na Watoto aniambie maana naona Makonda Toka akiwa Mwenezi alikuwa anafanya hii kazi.
Wao wanaliowa Mishahara Kwa kaiz hizo na hawafanyi Sasa wanalipwa Kwa Ajili ya nini hasa? Yaani Wameshindwa kuratibu na kujua watu wenye uhitaji hasa...