"Tusikatae ukweli kwamba vijana waliandamana kwa sababu gani? wanasema sababu ya kwanza ukiuliza vijana wanasema hatuko salama watu wanatekwa, watu wanapotezwa, watu wanauawa, ni zoezi lina zaidi ya miaka miwili hilo linaendelea vijana wamechoka kuvumilia"
"Demokrasia, haina maaana tena...
Watu wanatekwa sana na kuuwawa mbona hatusikii Mkunda akikemea ? jeshi lile sio la Mkunda wala Samia ni la wananchi
Jeshi ni la wananchi sio Mkunda wala nani, ni jeshi letu sisi wananchi wakina Mkunda ni wasimamizi tu sio mali zao zile endapo kutakuwa na mazingira ya kuhatarisha nchi tunapaswa...
"Watu wanatekwa watu wanauawa, watu wanaporwa mali zao kikundi cha watu wachache sana kinajenga ukwasi na utajiri mkubwa na wingi wa fedha kutoka katika vyanzo visivyojulikana ndio wamejaa mjini, mimi naunga mkono matajiri waongezeke lakini kwa njia halali" Aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.